Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakionyesha Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015-2020 katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ndiye aliwakabidhi ilani hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM Jangwani.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Jangwani.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza baada ya kukabidhi ilani kwa mgombea wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa bongo wakiwa jukwaani.
Monday, August 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Vijana wa kata ya Forest jijini Mbeya wameungana pamoja bila ya kujali itikadi zao za kisiasa ...
-
Angel Kagame binti wa Rais Kagame mwenye miaka 25, katika mkutano wa Rais Barack Obama alikuwa kivutio kwa w...
-
MSHINDI wa tuzo za BET "International Act" Africa, Davido na nominee Tiwa Savage leo hii wamehojiwa na kipindi cha TV cha netw...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada...
-
Na EMMY MWAIPOPO MWILI wa aliyekuwa spika wa bunge, Samuel Sitta unatarajia kuwasili nchini siku ya Alhamis ukitokea nchini Ujerumani...
0 comments:
Post a Comment