Saturday, August 22, 2015

BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI MHE. FREDERICK SUMAYE AJIUNGA RASMI NA UKAWA

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga  na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI