Wednesday, January 14, 2015

WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO::: DIDA NA EDZEN MAMBO SAFI TENA…!!!

UNAAMBIWA Ndugu Ama wapenzi wawili wagombanapo Shika Jembe Ukalime...Usiingilie na kujifanya wajua sana itakutokea puani na kuonekana mchonganishi.
Kwa sasa wawili Hao Mambo safi wameshapata ugomvi umeisha na mamba ni kama dhamani ng'are ng'are , Wenyewe wanawasiliana kama kawa na kusaidiana katika vitu vidogo vidogo japo kila mmoja alichukua hamsini zake..
Tujifunze kwa hawa watu si lazima mnuniane na kuchuniana mkiachana kimapenzi , mnaweza kuwa marafiki kama kawaida..
Urafiki wao kwa sasa umejidhihirisha baada ya Dida kuingia mtandaoni na kuandika haya hapa chini….!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI