Friday, January 16, 2015

UKATILI WA KIJINSIA: MKE ANUSULIKA KUUWAWA KISA MUHINDI WA KUCHOMA *PICHA*

Picha ya mwanamke aliyemwagiwa maji ya moto
Wilaya ya tarime.
Mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa alichuma
mahindi mawili katika shamba lao bila ruksa ya mumewe sasa amelazwa hospitari ya musoma kwa matibabu na mtuhumiwa ametoweka.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI