Wednesday, January 14, 2015

RAIS KIKWETE NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE. VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM, AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE *PICHAZ*

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,  Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI