Saturday, January 3, 2015

JINSI PANYA ROAD WALIVYOVAMIA MAENEO YA SINZA, UBUNGO JANA USIKU *PICHA*


VIJANA hatari kwa matukio ya unyang'anyi maarufu kama Panya Road, wamevamia maeneo ya Ubungo na Sinza muda huu (jana usiku), ambapo hadi sasa askari wapo eneo la tukio sinza wadhibiti matukio yanayojaribu kufanywa na wa vijana hao huku mabomu ya machozi yakirindima pande hizo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI