Tuesday, January 20, 2015

DUUUUUH: WANANCHI WILAYANI MAKETE WAMCHINJA DUMA NA KUMLA NYAMA *PICHAZ*

 Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
 Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
WANANCHI wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.
Picha na Aldo Sanga - Makete.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI