RAPPER Eminem amefunguka ya moyoni kwenye moja kati ya Interview alizofanya kabala ya mwaka 2014 kuisha na kikubwa alichosema ni kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja almaarufu kama homosexual, Kama utakuwa shabiki wake miaka ya 2010 alikuwa miaongoni mwa mastaa wanafuatilia swala la usawa katika ndoa sasa zile itikadi ndizo hizi alizokuwa ikizimaanisha au inakuwaje?
Sunday, December 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa ...
-
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu...
0 comments:
Post a Comment