Sunday, December 28, 2014

RAIS WA WASAFI @DIAMONDPLATNUMZ APOKELEWA KAMA RAIS WA NCHI BURUNDI...*PICHAZ*

Diamond Platnumz akipokelewa na kundi la watu waliojitokeza kushow love kwa kijana huyu anayefanya muziki wake tokea Tanzania na kuusambaza duniani kote. 
 Diamond Platnumz akipokelewa na baadhi ya wadau wake.
Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake 'Zari'.

  Diamond Platnumz akipokelewa kwa shangwe alipokatiza katika baadhi ya mitaa nchini Bururundi na wadau hawa kuonekana kuufurahia uwepo wa msanii huyo.
Diamond Platnumz akipokelewa kwa shangwe na waendesha bodaboda alipokatiza katika baadhi ya mitaa nchini Bururundi.
 Nyomi ya watu wakimiminika kumpa sapoti mdau wao Diamond Platnumz.
 Diamond Platnumz.


  Diamond Platnumz akifanya mahojiano na waandishi wa habari nchini Burundi.
 Diamond Platnumz akifanya mahojiano na waandishi wa habari nchini Burundi.

 Diamond Platnumz akifanya mahojiano na waandishi wa habari nchini Burundi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI