Kufuatia kujitoa kwenye mkataba wa muda mrefu na record lebel ya Cash Money, Jay Sean ameanza kwa kutoa mixtape kabla ya album mpya. Mixtape imepewa jina The Mistress II na ilitoka mwezi wa kumi, Hii video ya wimbo kutoka kwenye mixtape hii unaitwa “Jameson.”
Saturday, December 27, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
SALUM MWALIM, JOHN MNYIKA NA DK SLAA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA umefika tamati kwa kamati kuu ya cha...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa ...
-
MKURUGENZI wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu...
0 comments:
Post a Comment