Sunday, December 28, 2014

LICHA YA UMAARUFU 'ZARI' AZIDI KUSAMBAZA PICHA MITANDAONI AKIOGA BAFUNI…*PICHA*

WATU wengi hujiuliza kwanini mtu anakuwa ni maarufu halafu bado anakuwa kama ndio kwanza anautafuta usupastaa kwa kusambaza picha ambazo zinaonesha faragha yake…yaani kama hizi za bafuni, akiwa na mpenzi wake kitandani na nyingine nyingi….
Wewe kama mdau namba moja na msomaji wetu mkubwa unalipi kuhusiana na hili?
Tiririka hapo chini katika koment tujue yako ya moyoni.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI