Monday, December 29, 2014

HAYA SASA KADI NYEUPE HIYOOO INAKUJA KWENYE SOKA *PICHA*

NI mpango wa Rais wa UEFA Michel Platini alisema hayo kwenye mkutano wa michezo uliofanyika Dubai, Bwana Platini alitoa ufafanuzi wa jinsi kadi hiyo itakavyo tumika mchezaji akifanya kosa na kupewa kadi nyeupe atatakiwa kutoka nje kwa dk 10 na kurudi tena uwanjani.
Kadi ya njano na nyekundu zitabakia vile vile na makosa yake kama mwanzo kabla ya kadi nyeupe.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI