Thursday, December 18, 2014

ALICHOPOST MANGE KIMAMBI KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI NI SHIIIIIIIIIDAH… JIONEE MWENYWE *VIDEO*

Mcheki bi Zari alivyolegea wakati akimwongelea Diamond… hahahaha, haki ya nani hiki kitoto sijui kinatumia ndumba?? Hivi kweli mama wa watoto watatu na akili zako unadatishwa nae???? huyu mtoto ni nomaaaaaaaaa…..hahahahahahhahahhahahah…Nimekubaliiiiiiii !!!!!!
Wanapendanaje sasa??? alafu Diamond kawa very comfortable kuongea english, aiseee I’m very proud of him. Yani kuna watu wana Phd ila english bado mtihani aiseeeee…
Alafu kwanini wifi huwa anavaa synthetic wigs tu? hivi mshawahi muona na human hair???? au labda mchumi eeeeh?
Chezea kumisiana, yani walihisi chumbani hawafiki wakaanza malove dove kwenye lifti..
Mie na baba Kenzo washambaje, hivi si tungepiga picha kama hii jamani wakati tuko New Orleans? ingependezajeeeee…hahahaha
Tatizo uzeeeee, tushazaa toto 2 kwenye lifti tunaulizana nani ana funguo za room badala ya kunyonyana midomo……kwi kwi kwi kwi
Koku na hawa leo watafanya nini? maana ulitusema sana mie na baba Kenzo, hawa je????

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI