KATIKA hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewachanganya zaidi pale walipoamua kupromote show za mahasimu wawili wa Uganda, Wema akiwa kwa Dr. Jose na Diamond akiwa kwa the bosslady Zari, show ambazo zitapigwa tarehe moja lakini kumbi tofauti, ni kati ya show za gharama kuwahi kufanyika Uganda. na kua show za gharama Dr Jose na Zari ni mafahali wawili nchini humo hivyo siku hiyo watu wanasubiri waone ni wapi kutabamba sana, iliwahi kutokea hapa kwetu ambapo mwana FA alifanya show ya kuzindua album tarehe sawa na Lady Jaydee ambapo inasemekana Lady Jaydee alikamata mashabiki wengi kuliko mwana FA, lets wait tuone mwisho wa hizi Drama LOL.
Wednesday, November 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
1. Wema Sepetu Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipa...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...







0 comments:
Post a Comment