Sunday, November 2, 2014

UNAAMBIWA HIZI NDIZO MBINU MPYA ZA WANAWAKE WANAO SAKA NDOA KWA NGUVU SIKU HIZI

Siku ya kwanza atakuja na chup* 2, moja anaifua
anaacha bafuni, nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa
usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza
anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni
zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya
kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels
anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na
flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu
kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe
alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa
kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi
mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia
taratibu..
Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina
perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa
hereni na 'Foundation'... My Brother, huna haja ya
kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho
utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua
ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls, Siku
hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua

imekula kwako,inawindwa ndoa

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI