KATIKA ukurasa wake wa facebook msanii machachari wa muziki wa Bongo flavor Diamond Platnumz amemkubali MEDA msanii anayekuja vizuri katika muziki wa kizazi kipya kwa sasa na kumpa much respect kubwa kwa kuandika maneno haya mazuri na yenye tumaini kwa wasanii wanaochipukia!
MEDA ni mwanamuziki wa Bongo flavor anayefanya vizuri akitokea kusini mwa Tanzania, Iringa ikiwa ndio mkoa anaouwakilisha kwa sasa.
Kiukweli Hard work pays.... Ukitaka chochote usione aibu pambana kwa kile unachoamini na kisimamie! Hongera sana msanii MEDA
0 comments:
Post a Comment