Thursday, November 13, 2014

CHEKI MITINDO MIKALI YA NYWELE HAPA #SUKAPENDEZA!!! *PICHAZ*


Mtindo huu wa ususi ukiangalia vizuri, kwa mbele (usoni) ni aina nyingine ya ususi, siyo kama zile rasta tulizozizowea kusuka muonekano huu unafanya uso upendeze zaidi.......

WATOTO NAO HAWAKO NYUMA!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI