BOB Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya.
Weekend iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.
0 comments:
Post a Comment