JAMAA amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye
mafanikio ila historia ya elimu yake yakushangaza sana alifeli darasa la
saba mara mbili na ajasoma secondary kabisa ila ni mwandishi wa hadithi
na vitabu mzuri kabisa na Anajua Kingereza Vizuri, Kingereza Alijifunza
Ukubwani baada ya Kuona Kina manufaa katika Biashara zake..
Kwa Walio
Angalio Kipindi cha Profesa Shaka Ssali wa VOA katika kipindi straight
talk of Africa walishudia alivyofit ....Jamani kukosa Elimu isiwe
Kikwazo,U can still do mambo Makubwa Tusikate Tamaa.
0 comments:
Post a Comment