Friday, October 10, 2014

TANZIA: MSANII RICHIE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI!

Msanii wa maigizo hapa nchini Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo na msiba upo Tabata.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI