SIMANZI kuhusiana na taarifa ya msiba wa aliyekuwa muigizaji wa
Bongo Muvi.
Katika
ukurasa wake wa instagram, muigizaji na mchekeshaji maarufu
anayefahamika kwa jina la Kitale ama Mkude Simba (@mkudesimbaoriginal),
amepost picha ya muigizajiShery Mwana aliyefariki masaa machache yaliyopita.
Kwa mujibu wa Kitale, muigizaji huyo mbaye jina lake halisi ni Sherry Charles Magali, aliwahi kushiriki na Kitale katika movie mbali mbali ikiwemo Kipotabo na Nyumba Nne.
0 comments:
Post a Comment