Thursday, October 9, 2014

MAPOKEZI YA SALUM MWALIMU, NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA VISIWANI ZANZIBAR


 
Mamia ya wananchi na wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salumu Mwalimu baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo Darajabovu mjini Zanzibar.
 
Dk.Slaa akiteta jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu (kulia) kwenye mkutano na wanachama na viongozi wa chama hicho.
Dk.Slaa akiongea na wanachama na viongozi wa Chadema
Wanachama na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza Dk. Slaa alipozungumza nao kwenye ofisi za chama hicho huko Darajabovu mjini Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI