Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha
Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya
Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena, usiku wa Oktoba 9,
2014 jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile,
Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia
Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika
kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, usiku wa Oktoba 9, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Redio
One, Joyce Mhavile, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya
kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, usiku wa Oktoba 9,
2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Meneja Masoko Msaidizi wa Kampuni ya
TOYOTA Tanzania, Eliavera Timoth, wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa
ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, usiku wa Oktoba 9,
2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wakati wa hafla
hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi wa Uzazi Uzima, Dkt. Benatus Sambili
(wa pili kushoto) wakati alipokuwa akielezeewa kuhusu miradi inayosimamiwa na
Amref Afrika, katika hafla ya Chakula cha Hisani kilichoandaliwa kwenye Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni
ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Mpango wa Kujenga Uwezo katika mradi wa Uzazi
Uzima wa Amref, Dkt. Pius Chaya (kushoto) wakati alipokuwa akielezeewa kuhusu
miradi inayosimamiwa na Amref Afrika, katika hafla ya Chakula cha Hisani
kilichoandaliwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana usiku kwa
ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa
Afrika.
Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Afrika, Dkt. Festus Ilako
Baadhi ya wadau, wageni waalikwa
waliohudhuria hafla hiyo.
14 na 15: Baadhi ya kinamama wakiserebuka kucheza muziki
maalum unaomtukuza mama, wakati wa hafla hiyo.
Habari/Picha: Jiachie, Michuzi Jr.
0 comments:
Post a Comment