Saturday, October 11, 2014

HUYU NDIYE MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU 'TIA' ALIYEJICHOMA KISU TUMBONI *+PICHAZ*

MWANAFUNZI aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana.
Tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI