Wednesday, October 15, 2014

HIVI NDIVYO MSANII TYGA ANAVYOSHIKILIWA MATEKA NA YMCMB, MWENYEWE AFUNGUKA MENGI

Tyga-lil-wayne-nicki-minaj 
RAPPER wa Young Money ‘Tyga’ ametumia twitter kutoa ya moyoni kuhusu record lebel yake ya YMCMB na kusema anashikiliwa mateka na uongozi wao.
Tyga anasema album yake mpya ya Gold ipo tayar ila lebel yake haitaki itoke muda huu. 
Tyga aliendelea kuponda Muziki unavyoendeshwa Marekani na baadae akamponda manager wa Young Money Mack Maine.
 Soma twit zake hapa chini.
tyga 2 Tyga

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI