Friday, September 19, 2014

MWIGULU NCHEMBA ALIPOKUTANA NA UJUMBE WA FRELIMO, CCM LUMUMBA!!

VIONGOZI wa chama cha Frelimo kutoka nchini Mozambique mapema jana wametembelea makao makuu ya CCM hasa kwa lengo la kukutana Makamu katibu mkuu wa chama mh Mwigulu Nchemba ili kupata Ushauri katika kipindi hiki cha kampeni zao za uchaguzi mkuu utakaofanyika mapema desemba mwaka huu.
Wakiambatana na balozi wao Nchini Tanzania Kamati kuu hiyo chini ya binti Mondlane ambaye ni mtoto wa muhasisi wa chama hicho wamemteua mh Mwigulu kuwa mlezi wao pia watakutana na wana msumbiji waliopo hapa Nchini kwa ajili ya kampeni.



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI