Friday, September 19, 2014

SCOTLAND WALIVYOPIGA KURA KUAMUA KUJITENGA NA UINGEREZA *PICHAZ*

 Matokeo ya awali ya kura ya maoni ya uhuru wa Scotland yameanza kutolewa huku wasiotaka kujitenga wakiongoza..
 Tayari majimbo zaidi ya 20 yametoa matokeo huku wanataka kubaki chini ya himaya Uingereza wakiongoza kwa kupiga kura ya hapana kwa asilimia 55 dhidi 45.
 Moja wapo ni Jimbo la Clackmannanshire ambalo limepiga kura ya hapana katika matokeo yaliyotolewa asubuhi hii.
 wahesabu kura wakishangaa uwingi wa kura



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI