Beki Bacary Sagna kutoka Arsenal akiwa ameshika jezi namba tatu aliyokabidhiwa katika timu yake mpya, Manchester City baada ya kujiunga nayo tasmi jana na kuanza mazoezi Uwanja wa Etihad mjini Manchester.
Samir Nasri akimtambulisha mchezaji menzake wa zamani wa Arsenal, Bacary Sagna kwa kocha wao Pellegrini
Wameungana tena: Wafaransa hao wawili awali walicheza pamoja Arsenal
0 comments:
Post a Comment