Wednesday, August 6, 2014

DAVID LUIZ AANZA MAZOEZI PSG KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KOMBE LA DUNIA

Makazi mapya: David Luiz akiwa katika uwanja wa mazoezi wa PSG.
******
DAVID Luiz alitembezwa na kuonesha sehemu mbalimbali na vifaa vya mazoezi katika klabu yake mpya ya PSG jana Jumanne ambapo alikutana na wachezaji wenza wa timu taifa.
Mlinzi huyo wa kimataifa wa Brazil alinunuliwa na miamba ya soka ya Ufaransa kwa uhamisho ulioweka rekodi ya paundi 50m kutoka Chelsea kabla ya Kombe la Dunia.
Alifanya mazoezi na wachezaji wenza wa timu ya taifa Thiago Silva, Maxwell na Lucas Moura

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI