JOKATE ameshaingia rasmi kwenye kufanya muziki wa bongofleva huku akithibitisha kuwa na nyimbo alizorekodi tayari na atazitoa hivi karibuni kwenye Radio, ni kitu ambacho alikizungumza baada ya kupanda kwa suprise kwenye stage ya Fiesta 2014 Mwanza na kuperform moja ya nyimbo hizo mpya
Baada ya kukueleza hayo nataka kukukutanisha na picha alizoweka Jokate leo ambapo moja ameandika ‘huyo ananimaliza‘ na nyingine ameandika ‘nampeleka kwa babu wangu wa Kingoni‘
0 comments:
Post a Comment