Saturday, August 23, 2014

HUU NDIO UKWELI: HAMISA MOBETO NA MSURURU WA WANAUME..YEYE MWENYEWE ATOA YA MOYONI!

 Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto.
MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.
“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua,” alisema Hamisa

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI