Super lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe.
KUMBE!
SUPER lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto.
kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu, staa huyo amekuwa akihaha kusaka mtoto huku shinikizo likitoka kwa bibi yake, mzaa baba ambaye amekuwa akimuuliza juu ya yeye kumpata mtoto kwani umri unazidi kuyoyoma.
MADAKTARI WANASEMAJE?
Habari zilidai kwamba mwanadashosti huyo alishakwenda kwa madaktari mbalimbali ambao walimtaka kutokuwa na pupa kuhusiana na suala hilo na zaidi azidi kumuomba Mungu.
CHANZO CHATIRIRIKA
“Unajua umri ukishasogea, wanawake wengi huwa na wasiwasi juu ya suala hilo la kupata mtoto kama ilivyo ishu ya kusaka ndoa maana ni kati ya vitu vinavyowatesa.
0 comments:
Post a Comment