Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya gari ndogo na mwendesha bodaboda.
Sehemu ya gari iliyoharibika baada ya kugongwa na bodaboda.
MTU mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika kufa baada ya kuligonga gari dogo, tukio hilo limetokea maeneo ya katikati ya Boma na Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Katika ajali hiyo hakuna aliyeumia kwa sababu ya mwendo mdogo waliokuwa wanaendesha, ingawa pikipiki na sehemu ya gari viriharibika.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
0 comments:
Post a Comment