Na Gladness Mallya
TASNIA ya
filamu Bongo imepata pigo tena baada ya msanii aliyekuwa akichipukia
kwa kasi, Patrick August ‘Bryton’ kufariki dunia kwa ajali mbaya ya
pikipiki.Akizungumza na paparazi wetu, Mwenyekiti wa Sherehe na Maafa
kwa wasanii wa Wilaya ya Kinondoni, Masoud Kaftany alisema Bryton
alipata ajali usiku wa kuamkia Jumapili maeneo ya Tabata - Relini wakati
akirejea kwao maeneo ya Tabata - Kinyerezi.
0 comments:
Post a Comment