Sunday, August 24, 2014

KUFURU: CHECK NYUMBA MPYA ALIYONUNUA JUSTIN BIERBER YENYE NIGHT CLUB NA MOVIE THEATER NDANI YAKE

MIEZI kadhaa iliyopita mwanamuziki Miley Cyrus aliwahi kumshauri mwanamuziki Justin Bierber kuwa kutokana na matatizo anayoyapa kwa kukamatwa na Polisi mara kwa mara ni vyema angeachana na kupanga nyumba badala yake kwa kuwa ana hela nyingi ni bora tu angenunua Jumba kubwa la kifahari lenye kila kitu ndani ikiwemo 'Night Club' ili asiweze kupata bugudha anazozipata.
"You have a lot of money…buy a house with a night club.” Alisema Miley.
Kijana huyo ameufanyia kazi ushauri huo na kuachana na jumba lake alilopanga huko Beverly Hills na kununua jumba kubwa la kifahari huko sprawling Hollywood hills ambalo lina hadi club ya usiku ndani yake.
Hivyo kwa sasa kijana huyu ataepukana na kufukuzana na polisi kwa kuwa atafanya yoooote ayatakayo akiwa nyumbani kwake mwenyewe.
 
 
 
Hii ni klabu na pool ambavyo vipo ndani ya jumba analomiki msanii Justin Bierber.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI