Thursday, August 7, 2014

KIJANA AVUNJWA MGUU KWENYE AJALI YA BODABODA *PICHA*

Kijana aliyegongwa na bodaboda na kuvunjika mguu wa kulia akiwa amelala chini katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Bodaboda iliyotelekezwa na dereva wake baada ya kumgonga kijana huyo ikiwa eneo la tukio.
AJALI hii  imetokea leo majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye hakujatambulika jina lake mara moja  na dereva wa bodaboda kukimbia na kuacha chombo chake .
Picha na GPL

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI