Thursday, August 7, 2014

PENZI LA SHILOLE NA MZIWANDA LAWA GUMZO MITANDAONI, WENYEWE WAWEKA WAZI

MAPENZI ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliyoripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana   ambapo  wapenzi  hao walisambaza  picha kupitia account zao za  Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
 
 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI