Thursday, August 7, 2014

HIT NYINGINE TOKA KWA MKALI AZMA - KUWA NA AZMA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

AZMA ndio jina la msanii aliyefanya ngoma hii kali na yenye mistari ya aina yake, Ngoma inatambulika kwa jina la KUWA NA AZMA, ambapo amaeifanya na P MALLY/MOS REC na video kufanyika chini ya muongozaji mkali GODFRED na jamaa yupo chini ya Label ya UMABE/TAMADUNI MUZIK
Enjoy kwa kuitazama video hii hapa hapa katika ULIMWENGU WA HABARI….!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI