
BASI la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.

Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hilo ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.
0 comments:
Post a Comment