Thursday, July 17, 2014

SOMA HAPA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT

JESHI la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.
Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.
Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA jina la mkoa hapa chini;

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI