Thursday, July 17, 2014

JE NDIO KWAMBA MPOKI AMETANGAZA VITA DHIDI YAKE NA ERICK SHIGONGO & JOSEPH SHALUWA WA GPL?

KATIKA wimbo wake mpya aliomshirikisha Ben Paul. mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo:
"Watu wa bongo movie, wala msilalamike kuporomoka kwa mauzo ya kazi zenu, kwani anaye wachafua ni msukuma wa bamaga na nyie mnamjua, na nyie hao hao ndio mnao muendekeza   na ndio maana niliwaambia sisomi magazeti ya udaku mkaniona chizi, na sasa hivi ukiniambia nimtaje muandishi bora wa kike, mi ntamtaja dada shaluwa"
Haya sasa tusubiri shigongo ata respond vipi, but uzoefu unaonyesha kuwa shigongo huwa Hukaa Kimya beef za wasanii, mwaka 2004 Dudu baya alimdiss vibaya sana shigongo kupitia channel ten, 3 days later dudu aliwekwa ndani kwa kosa la kumpiga Mr. nice, shigongo huyo huyo akaenda kumtoa, na inasemekana alikaa nae kama mdogo wake, wakayamaliza na kuendelea na maisha kama kawaida.
Sikiliza wimbo wenyewe hapa chini..!

>Na Mwanahari huru blog<

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI