Friday, July 18, 2014

PICHA 10 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO MPYA WA FEZA KESSY ‘MY PAPA’ HUKO AFRIKA KUSINI

ALIYEKUWA mshiriki wa Tanzania katika shindano la Big Brother mwaka jana, Feza Kessy ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘My Papa’ aliouachia radioni mwezi April mwaka huu. 
Video hiyo inayotarajiwa kutoka 08/08/2014 imeshutiwa nchini Afrika Kusini na director aitwaye Kyle White. 
Models watakaoonekana kwenye video hiyo ni pamoja na Mtanzania aitwaye Daxx, Tandi wa Afrika

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI