MSICHANA Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.
Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani baada ya kuweka gundi hiyo.
Alikimbizwa hospitali na kufanyiwa upasuaji ambao ulimghalimu kidole chake huko kusini mwa Wales, Uingereza.
Jamani hata kama ni urembo, wadada muwe waangalifu kwenye utumiaji wa vitu vinavyowafanya kuwa warembo zaidi eeeh.!!!
Kwa sababu ukiwa na dole kama hilo hata huyo ulietaka kumvutia atageuka speed balaa!!!
0 comments:
Post a Comment