Friday, July 18, 2014

MUANGALIE CHRIS BROWN ALIVYO TOKELEZA KIAFRIKA ZAIDI *PICHAZ*

 
WENGI wanasema ni moja ya hatua katika kuutangaza utamaduni na mavazi ya kiafrika kwani wasanii wakubwa kama hawa wanapovaa mavazi yao huwa ni chachu kwa mashabiki wake kuyavaa, Mwanakaka Chriss Breeezy ameonekana kutupia Kiafrika afrika kama anavyoonekana pichani hapo juu, nafikiri haya ni matunda ya wasanii wa kiafrika kuwa na uhusiano wa karibu na wasanii wakubwa kama Wiz Kid ambaye kwa sasa ana-hang out sana tu na kina Chriss na Rihanna pia.
Safi Chriss angalau unapata fleva ya kuwa na asili ya Kiafrika…!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI