Friday, June 6, 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI JANA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni jini Dodoma Mei 29, 2014.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe katika Kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni MJini Dodoma Mei 29, 2014.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi (wapili kulia), Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (wanne kulia)na Waziri wa Uchukuzi,Dr. Harison Mwakyembe (wasita kulia) wakizungumza na Wananchi kutoka wilayani Hai ambao walikuja bungeni kuonana na Waziri Mkuu, ili kuzungumzia mgogoro wa eneo wanaloishi lililopo karibu na Uwanaj wa ndege wa KIA. Wananchi hao pamoja na Mbunge wao, Freeman Mbowe walifanya mazungumzo na Mawaziri William Lukuvi na Dr. Harrison Mwakyembe kwa niaba ya Waziri Mkuu.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Kutoka kushoto ni Kutoka kushoto ni Greyson Mlanga, Robert Bundala,Sadiki Selemani, Omar Lubuva ns na Emmanuel Simon.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) baada ya kuzungumza nao Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Kutoka kushoto ni Omar Lubuva, Emmanuel Simon, Greyson Mlanga, Robert Bundala na Sadiki Selemani.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI