Monday, June 16, 2014

WATATU WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI KUPINDUKA WAKIWAHI NDEGE UWANJA WA NDEGE SONGWE, MBEYA










WATU watatu wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali baada ya Gari lao dogo kupata ajali wakiwahi Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe. 
Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi na alikuwa akilipita gari lengine na mbele kukawa na Gari lengine nalo linakuja kwa mwendo na ndipo lilipo mshinda, akagonga nguzo za taa barabarani Kisha Kupinduka. 
Hata hivyo wasafiri hao safari yao iliishia RRM. 
Picha na Mbeya Yetu

UNGANA NASI KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA
https://www.facebook.com/pages/Ulimwengu-wa-Habari/280391145464240

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI