Sunday, June 22, 2014

PINDA ALIPOMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA JIJINI ARUSHA

PG4A3067
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. 
PG4A3097
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Utawala Bora, Capt.George Mkuchika.
PG4A3170
Waziri Mkuu, Mizego Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa China , Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.
PG4A3185
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini.  Kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Rais, Utawala Bora, Capt. George Mkuchika. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI