Sunday, June 8, 2014

PIGO LA MSIBA MWINGINE KWA BONGO MOVIE

Marehemu Mzee Small enzi za uhai wake
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku wa kumakia leo akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. 
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. 
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. 
***Endelea kuwa nasi ULIMWENGU WA HABARI kwa habari na matukio zaidi juu ya msiba huu mzito***
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. 
AMEN!!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI