Saturday, June 14, 2014

PICHA 5 ZA MWANZO: KINACHOENDELEA NCHINI KENYA KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MUONGOZAJI WA FILAMU NA VIPINDI GEORGE TYSON

Ndugu na jamaa wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu George Tyson wakati wakiutoa chumba cha kuhifadhia maiti leo hii Jumamosi ya Tar 14/06/2014 kwaajili ya safari ya kuelekea Siaya kwa mazishi.
Mwili wa marehemu George Tyson wakati ukipelekwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kufanyiwa maziko.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kwa mazishi.
Ndugu wa marehemu George Tyson akiwa tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea Siaya kwa mazishi.

Gari alilopatia ajali marehemu George Tyson wiki kadhaa zilizopita. Katika picha ndogo ni George Tyson enzi za uhai wake.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI