Huu ni mwonekano wa Soko la Karume Baaada ya kuungua.
Hiki ndio kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko, Kila mtu ana maswali mengi bila majibu, Je ni kitu gani hicho?
Swali lisilokuwa na majibu mpaka hapo uchunguzi zaidi utakapofanyika.
0 comments:
Post a Comment